Afadhali. Polisi wafuate sheria na kanuni na siyo kauli na miropoko ya kujipendekeza ya wanasiasa.Siku moja baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla kulitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua watu wanne ndani ya siku saba kwa madai wanashiriki katika mtandao wa ujangili, jeshi hilo limesema halifanyi kazi kwa matamko.