Hahahaha,siyo jambo la kucheka, lakini tufanye nini? Wazungu walichukua kwa mababu ambao tulidai eti walikuwa wajinga, lakini wachina wanapewa na wasomi wetu!!!So what? Ukubwa wa eneo na utajiri kibao bila viongozi na jamii yenye maono vina faida gani?
Duh!!HIVI WAKATI WAZUNGU WANABUNI RIM ZA MAGARI MAKUBWA WALIJUAJE KAMA ZITAJATUMIKA KAMA KENGELE MASHULENI HUKU TANZANIA!?
wametusaidia sana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]HIVI WAKATI WAZUNGU WANABUNI RIM ZA MAGARI MAKUBWA WALIJUAJE KAMA ZITAJATUMIKA KAMA KENGELE MASHULENI HUKU TANZANIA!?
wametusaidia sana.
Waendelee tu na umbea wa inst ili wadada wa kazi watuhudumieDada wa kazi ataandaa maji na kuhakikisha yapo katika joto linalotakiwa, asijeunguza ngozi ya bosi wake. Wakati huo mke wa mtu anachati na marafiki zake kwenye mitandao ya kijamii bila kujua upande wa pili anampoteza mume.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bhagosha !!!!
Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu ufisadi unatoka mbaliHaka kakikua katakuwa kafisadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]