Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

‼‼DISCLAIMER‼‼
Those ladies who call me with unknown number with intention ya kusikia sauti then wanakata ,I will not be the first to talk,kama ni breathing competition tutaenda mpaka credit yako iwe finished[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ladies imagine walking into heaven and the kids you aborted shout "there she comes"[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Programu hizi humhitaji mtu kuzitumia muda wote kutokana na ushirikishwaji wa taarifa kutoka marafiki na vyanzo mbalimbali vya habari. Kupotea kwa muda kutakuja kama na wewe utataka kufuatilia kila jambo linaloendelea kwenye mitandao hii.
 
Usipokuwa muangalifu pia utapoteza umakini kwenye shughuli zako unazozifanya. Hii inaweza kutokea wakati upo katikati ya kazi fulani na ghafla ukapigiwa simu au ukapokea ujumbe au ishara fulani kutoka kwenye programu zilizopo kwenye simu yako.
 
Usipokuwa muangalifu pia utapoteza umakini kwenye shughuli zako unazozifanya. Hii inaweza kutokea wakati upo katikati ya kazi fulani na ghafla ukapigiwa simu au ukapokea ujumbe au ishara fulani kutoka kwenye programu zilizopo kwenye simu yako.
 
Kwa mfano, kama umejiunga kwenye makundi kadhaa ya mtandao wa Whatsapp na mlikuwa mnajadili kuhusu tukio la kusisimua linaloendelea kwa wakati huo; sidhani kama utaweza kutotazama simu yako pindi ujumbe ukiingia huku ukiwa katikati ya kazi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…