Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daah![emoji23][emoji23][emoji23]
shkamo shemeji[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
hili na mbaya zaidi ni pale unapo fikia hatua ya kuhisi hivyo mara zaidi ya moja kwa siku na mara nyingi zaidi kwa wiki.
 
Unakimbilia Kushika Simu Yako Unapopata Tukio la Aibu


Kupata aibu ni sehemu ya maisha ya kawaida lakini kama unajikuta kwa mara nyingi pale unapo pata aibu flani unakimbilia kushika simu yako basi jua kabisa uwezekano upo kuwa una tatizo la kupenda simu kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…