Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,861
hapa chugga kibaridi fulani hivi muda huu na kimvuaUnashika Simu Yako Mara tu Unapo Amka na Mara Unapo Lala
Hapa naomba tuelewane kwani si maanishi kushika simu pale unapokua na ratiba nyingine usiku hapana
Hebu leta evidensi kwanza tuoneNi Baby Jakitoo...Usije nifanya nilete evidensi hapa ohooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kumbuka kupenda simu kupita kiasi kunaweza kusababishia matatizo mbalimbali kama ya Afya, matatizo ya kifamilia, kimahusiano na mambo mengine kama hayo.Ni vyema uka amua kumuona mshauri kama utashindwa kabisa kuacha tabia hii kwani, hili ni tatizo sugu kama yalivyo matatizo mengine ambayo ni ngumu kuyaAcha,
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] jamaniii...I love mondays esp leo, umeme umekatika huku leo nachat tuu
Pole numbisaAsante andjul ila maumivu yakizidi huwa naenda safisha kaburi baada ya hapo napata amani daah maisha haya
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]hapana kwakweli[emoji124] [emoji124] amvila muyaya, amvila muyaya mayo aah....
Koffi Olomide... Amvila muyaya mayo..... Ajhajhajhajhaaaaaaa... Kinshasa moto, na carba motoooo... Moto, moto, Numbisa moto, Jakitoo fayaaaaaa[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji449]
Shemeji[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] jamaniii...
Me hapa natamani nilale tu,tangu nimeingia kazini sina mood ya kazi[emoji17][emoji17][emoji17]I love mondays esp leo, umeme umekatika huku leo nachat tuu
Asante carbaPole numbisa