Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
We si unapenda macho...Hayo hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaa khaa!
Si kwa kunishushua hivyo
Asante kwa avatar mpya[emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmeanza !!!
Umesema amechoka kimuonekano, Wema wa 2015 si Wema wa 2018. Ili saksafoni isikike vizuri "pumzi" mama.... Upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata sijaelewa,sijui akili imechoka[emoji30][emoji30][emoji30]
Sanaaa,sema hayo yamekosa nanii tu[emoji23][emoji23][emoji23]We si unapenda macho...Hayo hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
And sometimes you don't?Sometimes I miss you
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole Williams, my brotherSawa bro. Ni kwenda kwa Andjul kumsalimia. Nyie mtaelewana kweli au zitapigwa kavu kavu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mbona unanitega tenaAnd sometimes you don't?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesema amechoka kimuonekano, Wema wa 2015 si Wema wa 2018. Ili saksafoni isikike vizuri "pumzi" mama.... Upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] usha anza kuharibu...Pikipili hoho hii hii ninayoijua ama "pilipili hoho"?
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Mbona unanitega tena
[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] usha anza kuharibu...
Kweli afu ukizingatia na ww una vile vitu bhasi tabu Tupu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mimi?akhuuuu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ule mkataba wetu wa ka pichaMimi nitabeba popcorn nishuhudie mpambano wa mtu na kakayake
Amen mkuu. Nilikuwa nikikuangalia wewe. Misiba yote ile mfululizo lakini bado ulikuwa na nguvu ya kunitia moyo na kuniambia nisikate tamaa. Pengine hujui lakini ni wazi Mungu Alikutumia kuniangazia nuru na kunitia matumaini. Ndiyo maana nasema tutaniane humu lakini sisi tumekuwa kama ndugu kabisa japo hatujuani. Mwezi wa nne ikibidi tukutane jamani angalau tupate nafasi ya kushukuriana ana kwa ana. Dunia imebadilika sana na unapopata mtu anayekujali hasa wakati wa shida basi ni bahati mno. Mungu Aendelee kukubariki ndugu yangu. You are one of a kind [emoji120][emoji120][emoji120]Hakika, hata sijui ingekuwaje!
Tukio lako liliniumiza sana, nilikumbuka maisha yangu ya nyuma
Una lala una amka hata haujui unakutana na nani
Unakuwa pamoja na mtu kwenye shida na hamjuani... Una tiwa moyo, una simama tena.
Mna sali pamoja, mnaombeana, mna saidiana... Mna juana? Hapana...
Nadhani ni Mungu tu
Mungu hakika anaweza
Bila yeye tusingekuwa hapa
Na kamwe hatuwezi kuwa hapa
Tuzidi kumtukuza kwa huruma yake kwetu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Coleeeee!!!!Kweli afu ukizingatia na ww una vile vitu bhasi tabu Tupu
Bado naukumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ule mkataba wetu wa ka picha
Marhabaaa shemeji yangu mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shkamo shemeji,habari ya asubuhi?umeamkaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani leoooo
Na waangalia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mimi?akhuuuu!!