Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna dada wakali hapo. Kama huyu tipwa tipwa huku kushoto. Unaweza kuomba kubadilishiwa aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Upo club unadance peke yako mdogomdogo.. Mara gafla kademu kana kusogelea kana kuangalia kana tabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kana kunong'oneza kwa skio yako "nipe elfu 3 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende kulala nawewe kwako" mwanaume huna kitu Mfukoni, kwa M pesa wala Mshwari lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka, unashukuru sana ila......After 2mins kanarudi na power bank*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndipo utajua kwa nini idd Amini alikua wakiume lakini akaitwaa dada
Hahahaha wewe umeona hicho tu daah wanaume bana.Kuna dada wakali hapo. Kama huyu tipwa tipwa huku kushoto. Unaweza kuomba kubadilishiwa aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha wewe umeona hicho tu daah wanaume bana.Kuna dada wakali hapo. Kama huyu tipwa tipwa huku kushoto. Unaweza kuomba kubadilishiwa aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzeee haya madini huwa unachimba wapi
Sio nakumbuka, nasema hivi... "na ividensi ipo"
Kila mtu anaona anachotaka kukiona ohoo...Yeah! Hata mwenyewe anaonekana hana furaha kivile...Hahahaha wewe umeona hicho tu daah wanaume bana.
Mie nimekereka wanamemuharibia wifi yao sherehe,shela ni kwa muolewaji pekee