We umezingua ndo maana umepata likes chache kuliko wenzako.JF waweke na kitufe cha "dislike"
Hapa sijakusoma au ndo harakati za kutafuta like.Hii ni hatari sana kwani mhukufanya dereva kushindwa kulihimili gari kwa usahihi. Vilevile kubadili gear wakati mzunguko wa engine ya gari lako ni mkali ni kitu kibaya kwa sababu itasababisha kulika kwa clutch plates za ndani ya gear box yako na kukuletea matatizo hapo baadae.
Hapa sijakusoma au ndo harakati za kutafuta like.