Ni shidaHuu uzi
Wewe piga like tuuMwisho ni likes ngapi?
Yaah wee cheka tu, ruksa lakin like lazima utoe alaah!Nimecheka sana .......!!!
Mkuu unda kamati mzee wa liver asaidiwe ila uniq asiwemo maana ni mtuhumiwa. Cole Williams nae sina imani nae maana tatizo linatokana na ISIS.Wawindaji ni wengi kuliko wanyama.
Watu wameanza kuwinda mazizi ya watu.
Hahahaha[emoji12] [emoji12]Fanya ujinga ili nikupate, Sina kinyongo na matumizi ya hela juu yake
Sambaza likes kupata likes kumbuka utaratibuMpo poa
Njema kabisa mkuuHabari ya mchana wakuu
Ndio mkuu, siwezi kukata tamaa kijinga jinga hivyo kisa uniq. I will be here waiting for youHahahahahahahahah andjul.....
Hahahahahahahahha! Dah...Nikimkuta kichwa kichafu analiwa na simba itabidi nitafute namna ya kupata kachumbari ili ikibidi nimwagie watafune mpaka viatu vyake!