myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Upendo na likes
Yaan uonevu mtupuMatusi duniani kote yanahusisha viungo vya mwanamke. Kuna mpaka na vitabu kabisa vimeandikwa...Koromije mpaka utasikia "Magigo ga noko". Sasa unashangaa magigo ya mama yana matatizo gani mpaka liwe tusi? Matokeo ya mifumo dume...