Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-01-30-21-32-51.png
 
Trump alisema Taliban wanafanya ukatili na kuua watu wasio na hatia wakiwemo wanawake na watoto na kutokana na hilo alisisitiza serikali ya Marekani haitaki kufanya mazungumzo na wavamizi hao.
Ngoma nzito hiyo. Warusi walijaribu miaka 10 wakabwaga manyanga. Kabla ya hapo Waingereza walijaribu wakashindwa. Wamarekani sasa wana miaka 17 wanapambana. Japo Mataliban kijeshi wametawanyika lakini kuna roho korofi ya Kiafghanistan ya kutoshindika. Na kwa vile hakuna silaha ambayo inaweza kumshinda mtu asiyeogopa kifo, wengi wanaamini kuwa itafika mahala Wamarekani nao watabwaga manyanga na kuondoka tena kwa aibu kama walivyofanya Vietnam na Somalia...
 
Back
Top Bottom