carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Si kutabasamu tu,nimecheka kabisa,asante!!Hukutabasamu ulipoiona? Kama ulitabasamu na vidimpozi vikatokea kwenye kauso kako (kale) kazuri kachangamfu basi fotoshopu imefanikiwa...Kwema? Mafua yamekuachia?
umepata 'kadi ya kijani' mkuuWamenikosa...[emoji23][emoji23][emoji23]
Yote yanawezekana kwakweli ila hali ya amani kenya inashikiwa na uziKenyatta ni dhaifu...Au anaogopa kurudishwa The Hague na bibie Bansouda...
Ni usumbufu sana. Bila kumjua mtu pale uhamiaji aisee ni shida. Ama utapoteza muda sana au utapigwa !!!Kama mwisho ni jan 2020 basi itabidi uhangaikie nyingine,pole
Weeeeee watoto wa katikati hatuna mambo hayo,tena tuache[emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza. Ma last born tunanyonya mpaka hata miaka 6 tunyonye mavidole ili iweje? Hiyo ni kwa watoto wa katikati wasio na identity yo yote kwenye familia...
Si kutabasamu tu,nimecheka kabisa,asante!!
Yameniachia nashukuru ila naona yale maombi ya kuendelea kuteseka yaliombwa hadi asubuhi,jana nilitoka kapa kwakweli.
Halafu weweeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wa Katikati yaani mpo mpo tu huku hamko na kule hampo. Na ikitokea rabsha bi mkubwa akakamata mimba mapema basi mnaweza kuachishwa ziwa within a year. Matokeo yake ni kuanza kunyonya mavidole [emoji23][emoji23][emoji23]. Ma last born sisi unanyonya mpaka utakapojichokea. Kama mimi naambiwa nilinyonya kwa miaka 7. Sasa hapo kweli muda wa kunyonya mavidole utaupata wapi?Weeeeee watoto wa katikati hatuna mambo hayo,tena tuache[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu dogo wa kulia alikuwa BET juzi juzi haoa kumbe naye keshakuwa muhenga? Maweee !!!
Tracy? Samaki kama huyu hata sijui unaanzia wapi kumla. Kichwani au mkiani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ukija uniletee[emoji38][emoji38]Mission Accomplished.....
Kuna juice hapa ungekuwa karibu ningekunywesha. Niliiona jana dukani nikainunua out of curiosity. Wanasema ina potent vitamin C na D na ina vimelea vya mti wa Coca ndanimwe. Inachangamsha na kutia nguvu pamoja na kuondoa mafua within 36 hrs...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mambo yakienda vyema, kuteseka utateseka tu kwa sababu malipo ni hapa hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukija uniletee[emoji38][emoji38]
Ni kweli malipo hapahapa duniani ila "kutesa kwa zamu" [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nipambane na hali yangu maana kuna dalili haya maombi ni ya muendelezo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Toka huko eti tupo tupo tu,muone!Watoto wa Katikati yaani mpo mpo tu huku hamko na kule hampo. Na ikitokea rabsha bi mkubwa akakamata mimba mapema basi mnaweza kuachishwa ziwa within a year. Matokeo yake ni kuanza kunyonya mavidole [emoji23][emoji23][emoji23]. Ma last born sisi unanyonya mpaka utakapojichokea. Kama mimi naambiwa nilinyonya kwa miaka 7. Sasa hapo kweli muda wa kunyonya mavidole utaupata wapi?