Hata ikiwa hivyo ndivyo kwanini ugome? Je huna njia nyingine sahihi kudai haki yako mpaka mgomo. Mgomo kwa faida ya nani? Huyu mwananchi wa sengerema, misugusugu, mombo nk ana ugomvi gani na Daktari mpaka atekekezwe hospitali na msomi mwenye tamaa? Hivi ikiwa kugoma ni njia sahihi itakuwa vipi na polisi wakigoma nchi hii?Huwezi kuwalaumu madaktari. Wao ni zao la mfumo uliopo na siyo haki kuwasonga wao katika hili. Kama wanasiasa wanachukua mamilioni, kwa nini mtu muhimu kama daktari asilipwe vizuri? Fyeka mishahara ya mianasiasa, waongezee madaktari na walimu...
Leo uko tofauti wewe...Haya bana. I know you are a private person. Nilikuwa najaribu kupapasa gizani kwa kutumia hisia zangu. Nilichogusa ndo hicho nilichogusia.Hayupo nani,i keep it private no one can predict about being in relationship,single,divorced,widow etc hahaha. Everyday its on bana inaendaga wapi isipokua on
Emotion emotion mbaya hasa zile moments ngumu kama hizi duh usiombe kila nikisikia habar mbaya kama za radio na kingunge siku inakua ngumu sana. So mabadiliko yanatokea kiaina. Byee nitafute ka usingizi japo kidpgoLeo uko tofauti wewe...Haya bana. I know you are a private person. Nilikuwa najaribu kupapasa gizani kwa kutumia hisia zangu. Nilichogusa ndo hicho nilichogusia.
Natamani Carba angekuwepo hapa. Na Andjul...
Sikufuatilia mjadala sawasawa. Kuna mambo hapa ndo kwanza nayasikia. Comment yangu lilikuwa angalizo la jumla tu. Samahani !!!Hata ikiwa hivyo ndivyo kwanini ugome? Je huna njia nyingine sahihi kudai haki yako mpaka mgomo. Mgomo kwa faida ya nani? Huyu mwananchi wa sengerema, misugusugu, mombo nk ana ugomvi gani na Daktari mpaka atekekezwe hospitali na msomi mwenye tamaa? Hivi ikiwa kugoma ni njia sahihi itakuwa vipi na polisi wakigoma nchi hii?
Lala salama. Sali na kila kitu kitakuwa sawa. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Emotion emotion mbaya hasa zile moments ngumu kama hizi duh usiombe kila nikisikia habar mbaya kama za radio na kingunge siku inakua ngumu sana. So mabadiliko yanatokea kiaina. Byee nitafute ka usingizi japo kidpgo
AmenLala salama. Sali na kila kitu kitakuwa sawa. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Chenza la andjul ni habari nyingine mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Chenza limekuacha mdomo wazi MD Carba, chezeya utamu wa chenza weye!🙂🙂
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tumesogea kidogo kukwepa mafuriko, tumehamia kongowe BAKWATA. nadhani viongozi wenzako wamesahau kukujurisha hilo.Rudi ukasambaze likes kwanza ndo nitakuelekeza. Ofisi yetu ipo Kongowe - Mzinga kule Mbagala. Karibu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kifo cha gari .....
Walikuwa sahihi kudai kuongezewa fungu kwenye mishahara yao, lakini njia waliyotumia haikuwa sahihi. Mmoja wa madaktari wazoefu rafiki yangu mpenzi toka kanda ya ziwa, alikuja juta baadaye na hasa alipogundua alitumika kwa maslahi ya siasa. Nadhani haifai kuiendeleza mahali hapa, maana mgomo ule uliniumiza sana.Sikufuatilia mjadala sawasawa. Kuna mambo hapa ndo kwanza nayasikia. Comment yangu lilikuwa angalizo la jumla tu. Samahani !!!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tukijaaliwa tutaonana asubuhi na mchana wa leo INSHAALLAH