carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Subiri kichwa aje atakupa assistloking for assistant plz
Kwani vepeee???Hizi emoji veeepe
Kula like kwanza haya niandike zima niniemb andika jina zima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe umepitia kimyakimya? Haki sidhani kama hajawahi kukuomba assist.Ni kweli kabisa sasa nimerudi rasmi mjengoni kutoa assists kadri nitakavyoweza 🙂🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23]```Uchoyo ukifikia hapa bora kifo```,
*Mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,akaficha chakula chini ya kochi,*
*Mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.*
*Mgeni: Moshi wa nini huo?*
*Mama: Mwenzangu utaiweza mipanya ya humu kwa kuvuta bangi..*
*hahahahahahahahahahahhaha* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado sijapata wa kumuassist [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesha assist??nimekuona kule kwenye assist
Like hazijamwacha mtu salama mkuu wa kaya mwenyewe anakula likesKheee kheee kheeeee utamu wa JamiiForums huu! Hata ShilawaDU anashinda humu kutwa kucha ili naye amiminiwe likes. Huwafukuza wapambe wake ofisini kwake eti ana kazi nyeti kumbe yuko JF majukwaa ya siasa, chit chat, MMU na lile la kule chini kabisa kwa raha zake. 😵😵😵
Na ma-Great thinkers wa ukweli nao wanakuja huku? Kweli raha hii ya likes haijawahi kumuacha mtu salama. Karibu kamanda. Kamata likes...Kheee kheee kheeeee utamu wa JamiiForums huu! Hata ShilawaDU anashinda humu kutwa kucha ili naye amiminiwe likes. Huwafukuza wapambe wake ofisini kwake eti ana kazi nyeti kumbe yuko JF majukwaa ya siasa, chit chat, MMU na lile la kule chini kabisa kwa raha zake. 😵😵😵
Nilisema nikiondoka online na Babe S ataondoka nikirudi na yeyey atarudiTiketi nyingine nani apewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka hadi mbavu zinaniuma.```Uchoyo ukifikia hapa bora kifo```,
*Mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,akaficha chakula chini ya kochi,*
*Mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.*
*Mgeni: Moshi wa nini huo?*
*Mama: Mwenzangu utaiweza mipanya ya humu kwa kuvuta bangi..*
*hahahahahahahahahahahhaha* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kaamua kusepa poa, akirudi atatukuta tupo round ya 1697 katika kuizunguka dunia....Chakushangaza uzi unasepa na mwenyewe kasepa
Uko nako nimepita mkuuloking for assistant plz
Hahahahaha kichwa anakula raha kwa raha zakeZimefika mkuu,yupo anadeka hapa [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Luxjxluxupfuufpfudp67dyodufupfpud7pd7pd7pxPinch he nc
Mrs. The Bold. Nafurahi kwamba kichekesho changu kimekuchekesha. Naona hapo nime "assist" kidogo...JF hii bana ina mambo sana![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka hadi mbavu zinaniuma.
HahahahahhaNa ma-Great thinkers wa ukweli nao wanakuja huku? Kweli raha hii ya likes haijawahi kumuacha mtu salama. Karibu kamanda. Kamata likes...