Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ielewe kanuni ya 90/10

(THE NINETY-TEN PRINCIPLE)

Kanuni hii ni ya muhimu sana na itakusaidia katika huyabadili maisha yako, kubadili namna unavyoyapokea au kuyaangalia mambo na kuonyesha hisia zako. Kanuni hii inamsingi ufuatao; Asilimia 10 ya maisha yetu inafanywa na vile vitu vinavyotokea kwetu na tusivyoweza kabisa kuvibadili kwa uwezo wetu.
 
Asilimia 90 ya vyote vinavyotokea katika maisha yetu vinategemea jinsi tunavyonyesha hisia zetu. Kamwe hatuwezi kubadili chochote wala kugeuza chochote katika yale yanayotokea kwetu katika ile asilimia 10% mfano, hatuwezi kubadili wala kuzuia pale gari linapoharibika barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…