Nipitie hapaTwende bhasi
[emoji445][emoji445][emoji445]Nipitie hapa
Mkuu konge wapi hiyo
Weka picha...Kwa kipindi kifupi Cheick alikuwa maarufu katika eneo la kufanyia mazoezi, akinyenyua uzito sawa na wanyanyuaji vyuma wenye taaluma hiyo.
Mnamo mwaka 2013, aliingia shindano la kwanza la wanyanyuaji wa uzito mkubwa na akashinda, ukafuatia ushindi katika mashindano ya kitaifa baadaye katika mwaka huo.
"Kaka yanyu alikua akiniita Iron Biby (Chuma Biby) na jina hili limenifuata kote ninakoenda, lakini nilipoanza kufahamika kwa kunyanyua uzani wa juu nikawa Iron Biby," alikumbuka.
Aiseh!sikujua hayaHili swala ni deep kidogo hasa kwa watu wa conspiracy theories. Nadhani linahusiana na mambo ya kale, uwepo wa Mungu na nguvu za kimalimwengu. Kuna mjadala humu ulirindima sana na baadaye nikaona kwenye Ancient Aliens wanazungumzia hili suala. Lipo mahali pengi duniani tena katika mabara tofauti na inasemekana lilikuwa linafanyika ili kuiga vichwa vya miungu ya kale, miungu ambayo ilikuja kuwafunza binadamu kujenga mapiramidi na ma-monument mengine makubwa makubwa ambayo mpaka sasa wanasayansi hawajui yalijengwaje bila mashine, umeme wala mawinchi makubwa. Na kwa vile akina mama ndiyo wazazi, watoto wa kike wanapofanyiwa hivi ni uhakikisho kwamba miungu hiyo ya kale itaendeleza uwepo wake miongoni mwa watu na kuhakikisha kuwa jamii nzima inabarikiwa na kuendelea kustawi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kichwa Kichafu,waitwa huku
Kutembea tu ilimradi tupite hapoTupite tunakwenda wapi? Na nikitumbukia kwenye huo ufa (halafu nikanogewa?). Nani ataniokoa?
Yaaani....mazingira yanahamasisha upatikanaji wa mapacha[emoji23][emoji23][emoji23]maana pamekaa "kishawishi"......hanemuuniii....mtu hapo aweza ondoka na mapacha ohoooo !!!
Sikuhizi umekuwa mchochezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeeweee aiseee only andjul anaelewa kilichoongelewa na shimba hapa