mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
EPL inaendelea
Yap za kibigwaLikes za kizalendo
Aiseee huyu mtu tangu asbh nimerejea sijamuona humu hii ajabu na EPL Leo kimyaLikes za upendo zina miss Rutashubanyuma
Tupo mkuu hatupotei tuna kuwa pembeniUzi wa upendo umepotelewa na memba wake
Hahahahaha kichwa kichafuUzi wa likes unaelekea kumpoteza pimbi wa carbamazepine
Kweli Mtoto wa kishuaUzi wa likes unamkubuka sana Charie Neisha
MogadishuUzi wa likes haujui mahali alipo baba Ivy. Bob12
Babe s wapi uniqUzi wa likes unamkubusha babeS jukumu lake la kuutembelea
IndeedBange ndani ya green house!! Maendeleo makubwa ya kilimo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lakini banghi ni dawaUkifanikiwa kumiliki shamba kama hilo mpaka ukalivuna, akafanikiwa kuuza, utakuwa mtu mwingine. Hata hivyo vibaka na mazezeta wataongezeka kwa kiwango kikubwa sana kwenye maeneo yetu.
Aisee ukimwona mwambie namsalimiaNsamaka jirani mpenzi, yani kipenzi cha watu, mwanamwali ambaye kila ukitia timu hapa unaacha mtifuano baina yetu. Tafadhali njoo tuburudike.
AMUN RAWalah, AMUN RA
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaha kichwa kichafu
HahahahahaBili ilivyomchanganya MASSAWE.!
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Kinabo 10,000
TOTAL 110,000/=
MASSAWE akaicheki akasema "Wote nitawalipia lakini huyo "TOTAL" Yesuu simlipii.
Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa bongo. Shensi taip ! Na amekunywa nyingi kuliko wote alipe mwenyewe...