Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezo huo ambao ulitawaliwa na vurugu huku uwanja ukiwa umejaa maji kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha, Barcelona walionekana kupotea hadi alipoingia mshambuliaji tegemezi wa klabu hiyo, Lionel Messi kunako kipindi cha pili.
 
Lengo kuu likiwa ni kutambua mamilioni ya wanaweke wanovaa vazi hili na kuendela na maisha yao. Nazma amekieleza kituo cha Aljazeera kuwa alianzisha siku hii kwa kuwa watu wengi walikuwa wakiona mtu anayevaa Hijab wanamfananisha na gaidi.
 
Every day, I would face different challenges just walking on the street,” she told Al Jazeera. “I was chased, spit on, surrounded by men, called a terrorist, Osama bin Laden, etc,” ameelza Nazma.
 
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt Rehema Nchimbi amewataka viongozi wa vijiji na kata mkoani humo kuhakikisha wanatunga sheria ndogo ya kunyonyesha ndani ya miezi minne ili kuondokana na tatizo la ukosefu wa lishe kwa watoto.
 
Kunyonyesha ni lazima, Wenyeviti wa vijiji na kata hakikisheni mmetunga sheria ndogo kwa ajili ya kudhibiti akinamama wote wasionyonyesha watoto wao kulingana na taratibu za afya,”amesema Dkt. Nchimbi.Kunyonyesha ni lazima, Wenyeviti wa vijiji na kata hakikisheni mmetunga sheria ndogo kwa ajili ya kudhibiti akinamama wote wasionyonyesha watoto wao kulingana na taratibu za afya,”amesema Dkt. Nchimbi.
 
Back
Top Bottom