myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Finding Escobar's millions
He!Kwa kweli ni shida. Itabidi nirudishe majeshi bakiwadi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Mchina niaje uko poa mkuuSallah huyu
Line 2 ameniboa sanaWow... What a game! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji123]
Yaani nimeumia sana[emoji20] [emoji17] [emoji22]
YopLikes za usiku
22:1722:00
Wekundu wa msimbazi nao hatari mwaka huuKlabu ya Simba imeendeleza ubabe kwenye mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kwa kwa ushindi mnene wa goli 3-0 dhidi ya Maafande wa ‘Ruvu Shooting’.
Kama kawaida likes kwa kila postLikes za usiku ziendelee..
Usingoje shukuraniWema hauozi..tenda wema uende zako
Kama kawaida Leo tupo pamoja mkuuLikes za usiku