Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu ufafanuzi please jike dume ina maana ana jinsia mbili au
Transgender...Kwake yeye eti kazaliwa mwanaume halafu akajibadili jinsia na kuwa mwanamke. Wengine hubakia na mnara wao (lady boys wa huko Thailand na Brazil) na wengine huondoa kabisa na kuwekewa uke. Kwa waliozaliwa wanawake hufanya kinyume chake.
 
Back
Top Bottom