Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Polisi huko walikuwa wanapaka mafuta ya Crisco nguzo za umeme ili mashabiki wasije wakazipanda. Mabarabara yamefurika balaa. Nick Foles just slayed the (cheating) giant...
Safi kabisa. Dakika tano za mwisho kidogo nijifungie chumbani ili nisione kinachoendelea ila jamaa wakanikalisha kitako. The GOAT alipo-fumble na Eagles wakarikava ndo nikaanza kuona mwanga ati ze endi ofu ze tano. Makocha na nyie washabiki wa hii michezo mna kazi aisee. Si kwa stress na wasiwasi ule haki ya nani. It is not worth it....Boy, what a day! Yaani weekend imeisha vizuri kabisa!
Huyu ni ....
Namkumbuka andjul
Wewe na nguvu zako tu
Safi kabisa. Dakika tano za mwisho kidogo nijifungie chumbani ili nisione kinachoendelea ila jamaa wakanikalisha kitako. The GOAT alipo-fumble na Eagles wakarikava ndo nikaanza kuona mwanga ati ze endi ofu ze tano. Makocha na nyie washabiki wa hii michezo mna kazi aisee. Si kwa stress na wasiwasi ule haki ya nani. It is not worth it....
Kucha zake
[emoji56] [emoji56] [emoji56]