mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Baadaye mida ya lunch
Mpaka kieleweke....Tutaendelea kugonga likes
Soccer ilinipita kushoto sijui kwa nini. American football inabidi nijichanganye na hawa jamaa ili kufanya networking. Sina ujanja...Mkuu kwenye American football uko vizuri sio EPL [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utarudi lini tena?Chaooo
Mkuu nipo sana nimesema mida ya lunch nitakuwa hapaUtarudi lini tena?
11:09 PM. Hakuna usingizi kabisa. Sababu ya Superbowl...What a day !!!
Polisi huko walikuwa wanapaka mafuta ya Crisco nguzo za umeme ili mashabiki wasije wakazipanda. Mabarabara yamefurika balaa. Nick Foles just slayed the (cheating) giant...Sasa hebu fikiria kama leo kunalalika huko Philadelphia!
Sawa. Nimekuelewa kamanda....Mkuu nipo sana nimesema mida ya lunch nitakuwa hapa
Nimemwomba Malkia aje hapa soon mtakuwa naye
Mafunzo: Tujifunze kuondoa chuki mioyoni mwetu kwani Ubaya umfanyiao MTU huenda ikawa sababu ya kunufaika kwake na ikawa njia ya kuanguka kwako.