Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Boy, what a day! Yaani weekend imeisha vizuri kabisa!
Safi kabisa. Dakika tano za mwisho kidogo nijifungie chumbani ili nisione kinachoendelea ila jamaa wakanikalisha kitako. The GOAT alipo-fumble na Eagles wakarikava ndo nikaanza kuona mwanga ati ze endi ofu ze tano. Makocha na nyie washabiki wa hii michezo mna kazi aisee. Si kwa stress na wasiwasi ule haki ya nani. It is not worth it....
 

Hapo ndio utamu wa mchezo ulipo! Hahaaa, Brady alipoivurumisha ile Hail Mary ilibidi nifumbe macho! [emoji23][emoji23][emoji23] Huu ushabiki ni hatari kwa afya aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…