Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

25009357_1991162634542240_3491814759609663488_n.jpg
Huyu si yuko nekedi kabisa??[emoji134] [emoji134]
 
Nisamehe shemeji. Timu yangu ilishinda. Nililazimwishwa kunywa kaglasi ka ile mvinyo yenye 26% abv. Nilipoandika haya hata sijui nilikuwa nafikiria nini. Pengine kukufurumua. Sijui kwa kweli. Nisamehe tu ...
Nimeona maana hadi sa5 ulikuwa hujalala kwa furaha[emoji23][emoji23]hongera.
Hukutambaaa?

Usijali shemeji,naelewa[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom