Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Alisema atafunguka laivu saa ngapi vile?Kapatwa na PENZI huyu hajitambui kabisa.
Huku ni mchana mkuu hizi picha daah zinaka ukali kiaina.
Inabidi ukanushe hizo taarifa maana mm naanza kuona maruweruweMuzee ya kubeba petrol na kibiriti[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie hapana kwakweli[emoji125] [emoji125]
Asanteni kwa kunifanya nicheke kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimie broMke wa 14 wa Mfalme Mswati...
![]()
Mkuu BAK
Nisamehe shemeji. Timu yangu ilishinda. Nililazimwishwa kunywa kaglasi ka ile mvinyo yenye 26% abv. Nilipoandika haya hata sijui nilikuwa nafikiria nini. Pengine kukufurumua. Sijui kwa kweli. Nisamehe tu ...Muzee ya kubeba petrol na kibiriti[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie hapana kwakweli[emoji125] [emoji125]
Asanteni kwa kunifanya nicheke kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakubwa Mnafaidi sana kwa kweli