Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
3. Kutoelewana Na Jirani
“Nahofia sana watoto wangu watachangamana na watoto wa jirani ambao hawana maadili, jirani yangu ni mtata sana na mbaya Zaidi lazima nipite kwake ndipo niingie au kutoka kwangu, sina amani kabisa na jirani yangu, hakika nakosa raha ya maisha.” Hayo ni maneno ya baadhi ya marafiki zetu.