Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zipo. Ila na wewe gawa kwa majirani zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe huku like za kumwaga!!!?
Alizembea pale mwanzoni kabisaa vijana wakajiwahi naona yamebakia majuto...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo umejipa kazi ya kuainisha heavenly bodies? Astronomer wa uzi wetu pendwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtabisha...maana mmoja anaona mwezi mwingine jua!!
Kuna mtu hana akili kweli?Mambo 11 ambayo watu wenye akili hufanya.
Nini lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili akutane nayo vile[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hivi kale kamvinyo ka jana kanaitwaje vile[emoji23][emoji23][emoji23]nataka nikuagizie kingineNdo umejipa kazi ya kuainisha heavenly bodies? Astronomer wa uzi wetu pendwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikae kimya...Actually ngoja nisepe zangu. Nimealikwa mahali. Nitakie mema na nguvu za kuepa vishawishi leo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niseme tu ukweli hata walio lala kule wanisamehe[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] hao malaika umbo la hivyo ndio ugonjwa wangu mkubwaaaa.....
Ngoja nikae kimya...Actually ngoja nisepe zangu. Nimealikwa mahali. Nitakie mema na nguvu za kuepa vishawishi leo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!Ili akutane nayo vile[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]