andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Sitoki mpaka amalize....Lensi mbinuko eeh?
Hivi akipiga deki inakuwaje?[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nakuwa kwa nyuma nyuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitoki mpaka amalize....Lensi mbinuko eeh?
Hivi akipiga deki inakuwaje?[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hovyooo[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Niseme tu ukweli hata walio lala kule wanisamehe[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] hao malaika umbo la hivyo ndio ugonjwa wangu mkubwaaaa.....
Wataniua mimi jamani jamaniii huruma mimi[emoji37] [emoji37] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji3][emoji3]Ndo umejipa kazi ya kuainisha heavenly bodies? Astronomer wa uzi wetu pendwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa wafanya nini?Sitoki mpaka amalize....
Nakuwa kwa nyuma nyuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe unakumbuka eeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alizembea pale mwanzoni kabisaa vijana wakajiwahi naona yamebakia majuto...[emoji23][emoji23][emoji23]
Usepe!! Unakatisha maongezi? Au ndio utarudi muda pendwa?..Ngoja nikae kimya...Actually ngoja nisepe zangu. Nimealikwa mahali. Nitakie mema na nguvu za kuepa vishawishi leo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa kasheshe. Ndo maana mimi haya mambo ya ushabiki kwa kweli siyawezi. Kha !!!