Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-02-03-20-41-41.png
 
Shout out to the niggas who are planing to buy their girlfriends
iPhones this Valentine's so they can send us high quality nudes. Your efforts won't go
unappreciated brothers. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
My friend self Sacrifice is when two witchesfrom your Village are discussing who's going to be their next victim... Then you pass by singing"I'm the one" by DJ Khaled'. You are finished, Rest In Peace. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
...Nimecheka sana, hebu cheka na wewe..Mtanzania, Mkenya na Mganda walikamatwa China kwa kukosa vibalì, wakaambiwa wachague adhabu ya kifungo kirefu au kwenda porini kuleta matunda kumi ya aina moja kila mmoja;
Mganda akaleta machungwa akaambiwa ameze moja moja hadi yaishe bila kufumba macho, kucheka, wala kulia; akameza moja akaanza kulia, akafungwa miaka 10.
Baada ya muda Mkenya akaja na zabibu akameza alipofika ya tisa akacheka, akafungwa miaka 9 [emoji2]
Walipofika jela Mganda akamuuliza Mkenya, ulishindwa nini wakati matunda yako madogo? [emoji5][emoji5]
Mkenya akajibu: 'Nilicheka kwa sababu Mtanzania yuko njianì anakuja na mafenesi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini ktembea na Madem wafupi ni tricky...kidogo kidogo mkiwa uhuru park anavalishwa baloon kwa kichwa na machinga[emoji17][emoji17] alfu anaambiwa"ambia babako akununulie"[emoji23][emoji23][emoji23]..akiyaooo,hawkers joh..u really gud
Starbouy
 
Back
Top Bottom