Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
5. Ishi kwa ukweli.
Ukweli ni moja kati ya njia zinazoweza kukufanikishia malengo yako. Kuwa mkweli kwako mwenyewe, huwezi kufanikiwa ilhali unajijua ni mvivu, mzembe, huna bidii au huwajibiki na maisha yako .unayo kila sababu ya kubadilisha mwelekeo wa maisha yako. Ikiwa hujaridhika na maisha uliyonayo sasa huu ni ndio wakati wa kubadilika kwa kuanza kutafuta maisha mazuri utakayo.