Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-02-03-20-40-27.png
 
1. Kuwa tayari kupambana na changamoto

Katika kutafuta mafanikio utakutana na changamoto nyingi hivyo kuwa tayari kwa lolote litakalotokea. Kuwa tayari kukutana na vizuizi ambavyo vitakuhitaji usimame imara.
 
Watu, pesa na vitu vingine vyote ambavyo kwa namna moja au nyingine vitakuwa changamoto kwako ni vyema utilie nidhamu ya juu katika utatuzi ili usonge mbele kwa uhakika. Mbinu na njia sahihi utakazopitia kuyaendea malengo yako ndizo zitakazokufikisha mahali utakapo.
 
I came back home from school and found my dad having s.ex with another woman. Dad quickly took 20,000 from his pocket and said, ''Take this money and please don't tell your mother what you have seen.'' i took the money and said, "But dad, next time you should increase the amount because mum usually gives me 50,000 on such deals."
 
2. Jenga mahusiano mazuri na watu ambao tayari wana mafanikio.

Jifunze kwa watu ambao tayari wana mafanikio kama hayo unayokusudia kufanikiwa. Dadisi mambo mengi kutoka kwao, wasome na kuwajua vizuri ili uweze kufikia malengo yako. Kwa kutumia siri zao za mafanikio (fikra, mbinu, mikakati nk.) utaweza kufika mbali kimaendeleo.
 
3. Kuwa na shauku ya kutaka kufanikiwa.

Kiu ya mafanikio ni kichocheo cha kuyaendea malengo yako mpaka ufikie juu ya kilele cha mafanikio. Utafutaji wa mafanikio unahitaji nia ama kiu isiyokwisha uwapo safarini kuelekea unapokusudia.
 
4. Kuwa na mtazamo chanya wa ndoto zako za kufanikiwa kimaisha.

Washindi hupata wanachohitaji kwa sababu wanajua nini wanataka. Wana mitazamo chanya ambayo inawahamasisha na kuwapa nguvu kufikia malengo yao. Ni sawa na kutaka kufika mahali fulani, ili uweze kufika utakapo ni lazima uwe na lengo. Jiwekee malengo leo na anza kufuata ndoto zako.
 
5. Ishi kwa ukweli.

Ukweli ni moja kati ya njia zinazoweza kukufanikishia malengo yako. Kuwa mkweli kwako mwenyewe, huwezi kufanikiwa ilhali unajijua ni mvivu, mzembe, huna bidii au huwajibiki na maisha yako .unayo kila sababu ya kubadilisha mwelekeo wa maisha yako. Ikiwa hujaridhika na maisha uliyonayo sasa huu ni ndio wakati wa kubadilika kwa kuanza kutafuta maisha mazuri utakayo.
 
*LAUGHTER: THE BEST MEDICINE*
Teacher: Why are you late?
Tito: My parents were fighting!
Teacher: Is that a valid reason?
Tito: My Mum was using one of my shoes to beat Dad, so I had to wait!!!
[emoji15][emoji87][emoji85] [emoji111][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji97]
 
4. Kuwa na mtazamo chanya wa ndoto zako za kufanikiwa kimaisha.

Washindi hupata wanachohitaji kwa sababu wanajua nini wanataka. Wana mitazamo chanya ambayo inawahamasisha na kuwapa nguvu kufikia malengo yao. Ni sawa na kutaka kufika mahali fulani, ili uweze kufika utakapo ni lazima uwe na lengo. Jiwekee malengo leo na anza kufuata ndoto zako.
 
Back
Top Bottom