Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c9d1146faa4df395706dd4651a96d2cd.jpg
 
Tenga asilimia 10% ya mapato yako katika yako ya akiba. Inashauriwa kutenga kiasi hiki kila mwezi, kabla ya matumizi yoyote kufanyika. Kuweka mpango wa akiba hata kwa kiasi kidogo ni bora zaidi kuliko kutoweka kabisa.
 
Pesa ya dharura.
Tenga kiasi Fulani cha pesa kwaajiri ya matumizi ya dharula. Inashahuriwa kutenga angalau mapato ya kuanzia miezi 3 hadi 6 la kila mwezi kwaajiri ya matumizi ya zarula.
 
Andaa bajeti.
Andaa bajeti yako na uanze kuishi kwa kiuizingatia, itakusaidia kuyaweka maisha yako katika mstari mnyoofu kiuchumi.Ili uweke akiba na bajeti yako ikuletee manufaa, unatakiwa kujiwekea mpango maalum juu ya matumizi ya pesa yako. Nidhamu ni ufunguo wa pekee katika kufanikisha mipango yako.
 
Punguza matumizi yasiyo ya lazima.
Kupunguza au kutoa gharama za vitu mbalimbali husaidia kupunguza matumizi ya pesa kwa kiasi Fulani. Manunuzi ya vitu vyenye gharama kama vile urembo, nguo, viatu na gadgets zenye gharama,
 
Punguza matumizi yasiyo ya lazima.
Kupunguza au kutoa gharama za vitu mbalimbali husaidia kupunguza matumizi ya pesa kwa kiasi Fulani. Manunuzi ya vitu vyenye gharama kama vile urembo, nguo, viatu na gadgets zenye gharama,
 
zinaweza kupunguzwa na kuwekwa kwa kiwango cha chini, pia kama inawezekana ni vyema kubeba chakula kazini au kurudi nyumbani wakati wa chakula cha mchana, kuliko kununua vyakula vya gharama uwapo kazini.
 
Tambua mahitaji muhimu.
Epuka manunuzi ya vitu visivyo vya lazima, kwa mfano;- Tumia maji kwa manufaa ya afya yako pindi unapojisikia kiu, badala ya kutumia pesa yako nyingi kununua soda.
 
Back
Top Bottom