Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Orodhesha vitu unavyopaswa kununua.
Tengeneza orodha ya vitu unavyopaswa kununua kila unapotaka kufanya manunuzi yoyote,hali ukifanya jitihada za kinidhamu kuzingatia orodha hiyo. Ikiwa na maana kuwa, jiwekee utaratibu maalum wa manunuzi, kuepuka matumizi yasiyo ya lazima.