carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Pesa sabuni ya roho.....Pesa mwanaharamu aisee...
Pesa sabuni ya roho.....Pesa mwanaharamu aisee...
Jiandae kuwekewa hiyo picha[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa natafuta ile picha ya nusu chenza uliyoweka hapa juzi lakini siioni...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani we hufaidi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo nimeandamwa na wakoromije....
Shimba kasema ule mzigo unaochunguliwa na mwenye nguo nyeusi ni mimi... Ila duniani kuna watu wanafaidi jamaniiii... Aiwishi ningelikuwa mimi .....
Mimi situmii benki. Hela zangu zote naweka chini ya godoro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu taja yako kwanza[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naomba nije kulala kwako kwenye hilo godoro leo tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85]Mimi situmii benki. Hela zangu zote naweka chini ya godoro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]