moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Alaa, sikujua hilo kabla[emoji3] [emoji3]hakuna sauti kubwa hii dunia kama kifuniko ya sufuria ikianguka ukijaribu kuiba nyama
Alaa, sikujua hilo kabla[emoji3] [emoji3]hakuna sauti kubwa hii dunia kama kifuniko ya sufuria ikianguka ukijaribu kuiba nyama
Nilikuwa natafuta ile picha ya nusu chenza uliyoweka hapa juzi lakini siioni...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] yaani ndizi angejiroga ataje anachofanana nacho,apple angeanguka chaliiii na kupasuka katikati... Ambacho kingeonekana baada ya kupasuka katikati ndio mfanano wake (godi fobidi)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu taja yako kwanza[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo nimeandamwa na wakoromije....andjul njoo huku Numbisa anakuchokoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] yaani ndizi angejiroga ataje anachofanana nacho,apple angeanguka chaliiii na kupasuka katikati... Ambacho kingeonekana baada ya kupasuka katikati ndio mfanano wake (godi fobidi)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna wakati aliweka picha ikiwa na majina yetu yote yamendikwa kwa mkono akitushukuru. Sitashangaa kama hayo majina yote yako framed sebuleni Kibamba...