Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ced24b482dacf95dc7bf8bf0ae4bf70f.jpg
 
Matunda yalikua yakiongea kwenye miti yake!
CHUNGWA : Mimi naona nafanana na Dunia
APPLE : Mimi nafanana na moyo
NDIZI : Hebu badilisheni story, acheni bangi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] yaani ndizi angejiroga ataje anachofanana nacho,apple angeanguka chaliiii na kupasuka katikati... Ambacho kingeonekana baada ya kupasuka katikati ndio mfanano wake (godi fobidi)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom