Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na kuna mtu aliweka maelezo yaliyopendwa na zaidi ya watu 3000,yanayosema Pale mtu wa hali ya chini katika jamii anapougua sana,huwa anakosa hata haki zake muhimu.
Lakini kuna wengine wachache ambao waliona jambo la kuuza maziwa yake ni utaratibu mbaya wa kuomba msaada.
 
Mtu mwingine alikosoa maelezo yaliyokuwa yanakashfu maamuzi ya wazazi hao na kudai kuwa huo ni upendo wa dhati wa wazazi ambao hawajiwezi kabisa,hivyo hao wanaotoa maneno mabaya juu yao kwenye mitandao wanapaswa kujifikiria kama ingekuwa ni mtoto wao,wangejali muonekano wao au maisha ya mtoto wao.
 
5d2727b962750e6f61756bcafb2e55a2.jpg


[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Doh![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom