Simba hii,inaweza kutibu Sukari mwilini...
1. Timu inayoongoza ligi kuu- SIMBA
2. Timu iliyofunga magoli mengi- SIMBA
3. Timu ambayo haijapoteza mechi kwenye ligi kuu zote duniani ukiitoa Barca,- SIMBA
4. Mchezaji anayeongoza kwa ufungaji-SIMBA
5. Mchezaji wa ndani mwenye magoli mengi- Simba
6. Mchezaji wa nje mwenye magoli mengi- SIMBA
7. Kipa mwenye Cleansheet nyingi- SIMBA.
8. Beki mwenye magoli mengi- SIMBA
9. kiungo mwenye assist nyingi- SIMBA
10. Timu isiyo na njaa na inayoendeshwa kisasa- SIMBA.
11. Timu ambayo hata ikipoteza mchezo inaendelea kuongoza ligi- SIMBA
12. Timu yenye Kocha ghali Africa Mashariki na Kati- SIMBA.
13. Timu ambayo ipo siku kila mtu ataishabikia- SIMBA.
14. Timu ambayo toka ligi ianze ina umiliki mkubwa wa mpira mpaka sasa bila kushuka(Ball Possession)- SIMBA
[HASHTAG]#This[/HASHTAG] Is Simbaaa
Tunazuilika na nanii!!
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji119][emoji119]