Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"



[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa upande wangu naona ni udhalilishaji wa pesa.

Mfano kwa mimi...

Kitimoto...kilo moja kwa siku sh10,000
Ndizi nne. sh. 2,000
Jibapa 750ml sh 8,000
Tonic mbili. sh. 1,000

Jumla ya matumizi kwa siku sh21,000

Hiyo sh 22,400,000 kwa sh21,000 ni siku 1,067,ambayo ni miaka mitatu nani-stopu



[emoji124] [emoji124] [emoji124] nilivyo zipangilia kama zangu vileee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ushaipitia zile times in high school after umekula ugali lunch n umeshiba ka yote ile kitu inakam in mind ni kulala tu.....time usingizi imeshika ndo ticha wa history anaingia na kuuliza 'who was the first president of Kenya' maninja na haters kando yako wanawisper sema Potassium oxide[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mzee wewe nimecheka kwa nguvuu duuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizo ni dalili za ubahili.
Tena muhasibu??[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu Kitimoto kilo1??
Unakosaje kitambi kwa mfano??
#saynotovitambi#
 

Attachments

  • tapatalk_1517941161076.jpeg
    87.4 KB · Views: 29
Mnafanana duh !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…