Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dawa Ya Mswaki


Kama vito vyako ni vya bei ghali ni vyema ukaenda kwa sonara au kununua dawa za kusafishia vituo, lakini kama ni vya bei rahisi basi jibu lako ni dawa ya mswaki, chukua dawa ya mswaki weka kwenye chombo changanya na maji na baking soda kidogo, kisha tumia mswaki kusafishia vito vyako, chukua mswaki ambao ni mlaini ilikuepuka kuchuna vito vyako.
 
Hatudhani kama kuna mwadada wa sasa hivi ambae amekosa wig katika kabati lake, karibu kila mtu anayo mawili au matatu ina tegemea na uhitaji wa mtu na mtu, well wigs ni must have’s maana zina rahisisha vitu vingi kama kutafuta wasusi wa haraka ikiwa umepata mtoko wa haraka. Kitu kigumu katika wig ni jinsi ya kulijali lisiharibike iwe ni human hair au synthetic wig.

Leo tunakuletea njia chache za kufanya ili kutunza wig lako
 
Jifunze tofauti ya Human Hair na Synthetic
Human hair wig yanakubali moto una weza ku tone au ku pass wakati synthetic ni yale ya plastic ukipass yana yeyuka, unacho takiwa kujua ni tofauti kati ya haya ma wig mawili kama huna uhakika itabidi usome maelezo katika wig lako, hii itakusaidia kuto kuunguza wig lako.
 
Jifunze tofauti ya Human Hair na Synthetic
Human hair wig yanakubali moto una weza ku tone au ku pass wakati synthetic ni yale ya plastic ukipass yana yeyuka, unacho takiwa kujua ni tofauti kati ya haya ma wig mawili kama huna uhakika itabidi usome maelezo katika wig lako, hii itakusaidia kuto kuunguza wig lako.
 
Wekeza Katika Shampoo Na Conditioner
Kama ulikua ujui basi acha tukujuze kuna shampoo na conditioner ambazo zenyewe zimetengenezwa kwa ajili ya mawig tu, na hii ni kwa sababu ya tofauti ya nywele za asili na bandia, kemikali zilizopo kwenye shampoo au conditioner ya nywele za asili ni kali kulinganisha na kemikali zilizopo katika shampoo na conditoner za ma wig
 
Kutumia shampoo ya kawaida kwenye wig yako inaweza kuharibu texture ya nywele au kuifuja na kufanya wig lako lijikunje, hivyo uwe makini kuwekeza katika bidhaa hizi. Mbinu yako ya kuosha inapaswa kuwa tofauti, pia – weka wig yako katika shampoo na maji na paka conditioner kisha chana taratiibu wig lake. Suuza na maji ya moto, kisha iache ikauke. wekeza kwenye brashi ya wig ili kuchana na kuondoa mikunjo ya nywele
 
Usitumie dawa ya kung’aza nywele au spray katika wig yako
Wengine wanasema kunyunyizia spray wig lako ni sawa, na watu wengi hufanya hivyo bila kuharibu nywele. Hata hivyo, ikiwa unaendelea kunyunyizia wig lako na bidhaa tofauti linaweza kuwa mafuta na kuharibu wig ukashindwa kulimage na kuweza kulitumia tena . Inashauriwa kuepuka kunyunyizia wig lako na aina yoyote ya spray.
 
Usitumie moto ku-style au kukausha wig lako
Kama ilivyo katika nywele zako mwenyewe, kutumia moto katika nywele kunaweza kuharibu nywele. Ikiwa una wig la synthetic, joto kutoka kwenye chuma cha curling au hair dryer linaweza kusababisha wig kuyeyuka. Ikiwa hujui jinsi ya kutengeneza wig lako, nenda salon wa kusaidie kufanya mabadiliko unayotaka. Kidokezo
 
Usitumie moto ku-style au kukausha wig lako
Kama ilivyo katika nywele zako mwenyewe, kutumia moto katika nywele kunaweza kuharibu nywele. Ikiwa una wig la synthetic, joto kutoka kwenye chuma cha curling au hair dryer linaweza kusababisha wig kuyeyuka. Ikiwa hujui jinsi ya kutengeneza wig lako, nenda salon wa kusaidie kufanya mabadiliko unayotaka. Kidokezo
 
Usilale au kuoga kwa wig lako
Kuosha wig lako ni lazima, lakini zaidi ya hayo, unatakiwa kuhepuka maji iwezekanavyo. Ondoa / vua wig lako wakati upo katika bwawa, unaoga au mvua nzito. Unapaswa kuepuka kulala ukiwa umevaa wig lako ili kuepuka kujikunja wakati unageuka geuka usingizini.
 
Tabia ya kunizungumzia umeanza lini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuwiiii
Kuna tuvimbaumbau aisee kanakukatia bonge la ugali na dagaa; na bado kanadai. Sasa unabaki unashangaa whea didi ze fudi go? Na kesho unakaona kako vile vile wakati wewe wala huli sana umefumuka kitambi. Siyo fea kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

[emoji117][emoji117][emoji117]Siwezi kukuzungumzia hadharani shemeji yangu darling. Nikitaka kufanya hivyo nakuita chumbani nakufinya ulie ili nipate nafasi ya kukubembeleza....
 
Hahahhahaahhaaaaa jaman
 
ananenepa maini na bandama nafikiri[emoji23][emoji23][emoji23]
yaani ka mimi,kwa siku nakula hata mara 6(small meals)ila sijui chakula kinaenda wapi aiseeh!!
Itabidi nifanye uchunguzi nijui mahala chakula kinaenda maana si kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]

Nilikuwa natania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…