Ni kweli. Kila mtu na lwake na dhana ya urembo ni tata mno. Hakuna fomyula ila kuna mawigi mengine yanawasha balaa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hahhahaa starehe za watu hizo. Wigi zinaongeza mvuto bana. Kuna binti muigizaji isidingo anavaa wigi yupo very beautiful ila in real life anapendelea nywele zake duh ana komwe kubwa kumzidi zari yaan naona bora angeendelea kuvaa wigi kama tunavyomuona kideon
We tayari ni memba wa CHAWAMITA bro. Kadi yako inakusubiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio mimi eeeehe sio mimi
Yanawasha balaa japo kuna wengine huwa yanawapendeza. Ila kwangu ni afadhali unyoe kipara kuliko kuvaa wigi aisee. Ni total turn off [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hivi kwanini huwa hamuyapendi?
Maana hii kauli nimeisikia kwa watu/wanaume wengi.
Ila wanawake hufanya hivyo ili waonekane warembo zaidi mbele yenu.