Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me si mpenzi wa hivyo vitu kwakweli na sijawahi weka kwenye kichwa changu.
Mnapotezea tu..Kweli tupu. Ubaya tu hamtaki tuonane. Aisee ingekuwa kasheshe mtu unakutana na mtu mwenye umri wa binti yako kabisa. Aibuuuu !!!
Ndo maana anonymous nzuri kabisaKweli tupu. Ubaya tu hamtaki tuonane. Aisee ingekuwa kasheshe mtu unakutana na mtu mwenye umri wa binti yako kabisa. Aibuuuu !!!
Nani mwolewaji?Jiandae kudai mahari shemeji
Alishawahi weka picha yake zamani akiwa amenyoaYaani nimekaa hapa nasubiri maelezo la sivyo mtanitambua leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali umekuja
Haya ulionaje kichwa ya Numbisa binti mpole?
[emoji3][emoji3][emoji3]Umeanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila jf raha bhana.Woyoooo andaeitin kaogezekaaaa
Kama kweli lakini sina uhakikaHakuna mwanaume mjanja mbele ya chenza la Andjul. Hata ukiambiwa ukaokote makopo utaenda tu...
Nimemuuliza nasubiri alete utetezi la sivyo kesi inaenda kwa da mangeCarba kamata cole huyu hapa
Weuweee umesahau kipigo cha aseno ile bet ilisema sahau kudai mahariNani mwolewaji?
Nikikumbuka Uniq hajalipa na kapotea jumla roho inauma. Halafu nasikia kamtandika mimba dadangu. Mambo kwishnei....
Wanajitahidi ila father time is doing her thang. Time to get married and settle...
Kale kakimbau mbau daah Uwezi juaKijana mpole...Unajua kuwa kuna kamsabwax huko Rocky City?
Bado nipo katika mshangao...Yaani baada ya kusababisha kesi hapa kakimbia[emoji23][emoji23]
Ila nani angewaza kama cole....yaani cole....na......[emoji23][emoji23][emoji23]
ahahahaa tena utaweka na hide idNimemuuliza nasubiri alete utetezi la sivyo kesi inaenda kwa da mange
We jirani[emoji23][emoji23][emoji23]Mnapotezea tu..
Kati ya 30-55 ni kundi moja tu...wanashirikiana kwa sana!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila jf raha bhana.
Unaweza kuita baba yako kiazi humu na asijue.
Mwanamke ww ni mkali sanaAlivyomuoga sasa[emoji23][emoji23]kashakimbia
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] daddyDuh !!!
Likijana letu festi boni hilooo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]