Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8820bbbcf6b9d89cd776d2e37574b82f.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila jf raha bhana.
Unaweza kuita baba yako kiazi humu na asijue.
Kuna jamaa alimtongoza dada yake mzazi,wakakubaliana kuonana maeneo. Jamaa anasema akawa wa kwanza kufika,katika mawasiliano ya kuelekezana akaona dada ake anamfata alipo na kuondoka kimya kimya akashindwa,dada mtu kumuona akageuza huku akiandika sms kuwa wabadilishe eneo maana hapo aliposema yupo kaka ake
 
Back
Top Bottom