Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna jamaa alimtongoza dada yake mzazi,wakakubaliana kuonana maeneo. Jamaa anasema akawa wa kwanza kufika,katika mawasiliano ya kuelekezana akaona dada ake anamfata alipo na kuondoka kimya kimya akashindwa,dada mtu kumuona akageuza huku akiandika sms kuwa wabadilishe eneo maana hapo aliposema yupo kaka ake
Duh!aiseh
Sema mambo ya mitandao haya ni kuwa makini tu kwakweli ila kama unaamua kujilipua unajilipua tu
 
Kuna jamaa alimtongoza dada yake mzazi,wakakubaliana kuonana maeneo. Jamaa anasema akawa wa kwanza kufika,katika mawasiliano ya kuelekezana akaona dada ake anamfata alipo na kuondoka kimya kimya akashindwa,dada mtu kumuona akageuza huku akiandika sms kuwa wabadilishe eneo maana hapo aliposema yupo kaka ake
Loh!!! Kaka alikua kama yuko hospitali!
 
Ona huyu anamuita mjomba ake daddy[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aisee. Mwezi wa nne mi niko tayari tukutane sehemu moja tuuasisi undugu huu. Andjul, Carba, 'Kitoo, Yego, Moudgulf, Jirani, Numbisa...Nitalipia usafiri...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
8820bbbcf6b9d89cd776d2e37574b82f.jpg
Awa sekandi chaldi...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom