carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Basi dai mahariNi rafiki yangu (bro). Sasa kama anataka kumuoa sis mi nifanyeje?
Basi dai mahariNi rafiki yangu (bro). Sasa kama anataka kumuoa sis mi nifanyeje?
Kama vina maumbo kama haka nakuunga mkono...Lile lipicha nimeshalifuta kwa sasa nina vimbau mbau tu
HahahahahaaBora yEye mimi kila siku hapa najisahau nataka ni upload lipicha langu kama masoud sura mbaya sijui kama mwaka utaisha salama huu
Uki upload nitagBora yEye mimi kila siku hapa najisahau nataka ni upload lipicha langu kama masoud sura mbaya sijui kama mwaka utaisha salama huu
Mie naingia chini ya uvungu wa bajaji kujificha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajikuta unazimia haki ya nani,ukikumbuka vituko vya humu unakufa kabisa
Mstiri mwenzio ka uchebe kwa shilole bhana[emoji125] [emoji125]Kijana mpole bana anatafuta makubwa yaliyomshinda mziwanda kwa shilole
Na mie usinisahau hahahaUki upload nitag
Mweee kazi ngumu,abaki alipo huko hukooMstiri mwenzio ka uchebe kwa shilole bhana[emoji125] [emoji125]
Bad boys (almost) always win. Always remember that !!!Kuwa Gentlemen kumeniaribia sana i wish ningekuwa simba mkali kama wewe bro wangu
Mi naamini nitakuona siku moja...Funguka tu huruuu maana hata hakuna mpango wa kuonana life is full of Surprises
Yaaani ukichelewa kuja nakufuata piemuNa mie usinisahau hahaha
Mbio za nini tena? Oh boy !!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kabisaaaaa !!!Yaani utetezi wako hauna mashiko
Acha tu kuna mmoja humu namfaham ,juzi kati nikakutana na uzi anaulizia swala lilonishangaza aiseeeDuh!aiseh
Sema mambo ya mitandao haya ni kuwa makini tu kwakweli ila kama unaamua kujilipua unajilipua tu
Hahahah hana hamu na mitandaoLoh!!! Kaka alikua kama yuko hospitali!
Sawa kabisaAisee. Mwezi wa nne mi niko tayari tukutane sehemu moja tuuasisi undugu huu. Andjul, Carba, 'Kitoo, Yego, Moudgulf, Jirani, Numbisa...Nitalipia usafiri...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kuna siku malkia wetu wa uzi alirusha picha yake halisi laivu humu na kumtag prince wake Mzee wa Ini lakini nashangaa hakuna hata mmoja aliyeipakua. Kujiripua rukhsa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora yEye mimi kila siku hapa najisahau nataka ni upload lipicha langu kama masoud sura mbaya sijui kama mwaka utaisha salama huu