Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Daah jaman ngoja nikafukue google labda wameitunza hukoUlikuwepo bhana,sema alishtuka/alishtuliwa mapema na mzee wa forwx akaitoa ila cole sijui aliiona vile
Daah jaman ngoja nikafukue google labda wameitunza hukoUlikuwepo bhana,sema alishtuka/alishtuliwa mapema na mzee wa forwx akaitoa ila cole sijui aliiona vile
Ila alisema kabisa "Here is your queen"...Hapa mpaka mtu ashtuke kazi..unaweza kuposti na asijue mtu
Oohooo zitapogoma mileleNasubiri injini kwanza zitokote ohoo !!!
Kabisa...ukiona sura kama ya Alie apa kuwa rais wa pili unajua mh sio....Na simu waweka kwenye vibration
mode
Ilifutwa ile picha kwa kasi ya 98g yaani ndani ya sekundeDaah jaman ngoja nikafukue google labda wameitunza huko
Daaah tulipitwaa na ubuyu mkubwa kabisaHamna. Niliwatafuta watu wote waliolaiki akiwemo Cole na Nsamaka ili wanirushie wote wakasema walilaiki tu na hawakuipakua. Nikamuuliza Mansa Musa akasema yale yale. Nikamuingia Mzee wa Ini mwenyewe akaanza kunizungusha. Nilitaka tu kuona kama uchacharikaji wote ule unaendana na mtu mwenyewe. Cole pengine anakumbuka...
Mungu ni mwema. Wajibika mama,Mungu akanyooshe mkono wa uponyaji kupitia kwako[emoji120] [emoji120]Nashukuru Mungu kwakweli,nipo nawajibika
Habari ya wewe
Ile siku mtandao haukunitendea haki walah!!Ila alisema kabisa "My Prince. Here is your queen"...
![]()
Mweee enzi hizo tulikua slow angeweka saiv uwii sekund nyingi ishadakwaIlifutwa ile picha kwa kasi ya 98g yaani ndani ya sekunde
[emoji23][emoji23][emoji23]jiraniiiiKabisa...ukiona sura kama ya Alie apa kuwa rais wa pili unajua mh sio....
Nilitafuta kila mahali wakati ule ule. Mzee wa Forex alimgombesha sana. Cole alilaiki na bila shaka aliiona..Daah jaman ngoja nikafukue google labda wameitunza huko
Huoni ile ni sura ya kazi....[emoji23][emoji23][emoji23]jiraniiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe bebi wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekumbuka mbaliHamna. Niliwatafuta watu wote waliolaiki akiwemo Cole na Nsamaka ili wanirushie wote wakasema walilaiki tu na hawakuipakua. Nikamuuliza Mansa Musa akasema yale yale. Nikamuingia Mzee wa Ini mwenyewe akaanza kunizungusha. Nilitaka tu kuona kama uchacharikaji wote ule unaendana na mtu mwenyewe. Cole pengine anakumbuka...
Hahahaha pasingetosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa angempa namba tu ya chumba sijui ingekuwaje...
Yaani acha tuView attachment 693238