Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee. Mwezi wa nne mi niko tayari tukutane sehemu moja tuuasisi undugu huu. Andjul, Carba, 'Kitoo, Yego, Moudgulf, Jirani, Numbisa...Nitalipia usafiri...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Hio hela ya usafiri niambie nikae standby kwa wakala niidownload kisha niunguze account sio hasara utahesabu umetoa sadaka haha
 
Sikuwepo ayaaaa ubuyu ulinipitaaa uliiona?
Hamna. Niliwatafuta watu wote waliolaiki akiwemo Cole na Nsamaka ili wanirushie wote wakasema walilaiki tu na hawakuipakua. Nikamuuliza Mansa Musa akasema yale yale. Nikamuingia Mzee wa Ini mwenyewe akaanza kunizungusha. Nilitaka tu kuona kama uchacharikaji wote ule unaendana na mtu mwenyewe. Cole pengine anakumbuka...
 
Back
Top Bottom