Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nina long term memory ya ajabu sana. Nimekwenda kijijini huko watu hatujaonana tangu tumalize primary wanakuja kunichalenji eti ukinikumbuka nakupa elfu moja basi nawataja majina na vituko vyao vya utotoni basi wanaishia kushangaa. Nimekusanya elfu elfu kibao...Niliyojifunza katika uzi huu naweza kuyaandikia kitabu kabisa na kikauza....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe bebi wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekumbuka mbali