carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subiri akusikieNumbi beibiiii...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subiri akusikieNumbi beibiiii...
Kuna mtu huwa anamuweka mara kwa mara namfahamu. Nilimuuliza kwa nini huwa anamuweka sana akanichunia. Pengine ni yeye. Kwenye profile yake anasema alizaliwa zamani sana (keshaondoa mwaka) na kama ni kweli basi ni mhenga kweli kweli. Huwa simchukulii siriazi kivile...Picha za ruta inawezekana huwa anachanganya na zake sema hatumfahamu tunazipotezea
Unataka ugundue nnUki upload nitag
Yaani baada ya kusababisha kesi hapa kakimbia[emoji23][emoji23]
Ila nani angewaza kama cole....yaani cole....na......[emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani jirani ooh,nimekukosea nini..Wemegeuka samaki walana wao kwa wao[emoji441][emoji445][emoji444][emoji444]
Ngoja na mimi nianze kutupia zangu[emoji124] [emoji124] [emoji124]Ruta anaweka sana picha zake..ila Isis aliweka, nadhani pia aliweka na ndugu yake
Ili ugundue nnNa mie usinisahau hahaha
Uzi ulikua moto kweliWakati ule Big Baba, Uniq, Mchina na (kidogo) Moudgulf wakipambana kumpata Baby S. Ilikuwa kasheshe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza tenaI LOVE YOU
Ukitupia nitag...Ngoja na mimi nianze kutupia zangu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tatizo u bad boy si uwezi nimejaribu we lakini nashindwa sijui kwa nn hakuna dawa ya kuwa bad boy kweliBad boys (almost) always win. Always remember that !!!
Daahhhh!!! Shemeji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli. Linarani dunia. Watu wakubwa wengi walishawahi kuangushwa na chenza. Himaya nyingi zilishaanguka kwa sababu ya chenza. Tumo dhambini leo hii sababu ya chenza. Hata Mugabe aliwahi kusema kuwa kama wanawake wangechimba mkwara wa kutotoa chenza kwa wanaume mpaka kutakapokuwa hakuna vita hapa dunuani, leo hii amani ya dunia ingekuwa imeshapatikana. Chenzaaaaaa.....!!!
Ka babyface kako[emoji6][emoji6]Unataka ugundue nn
Mkuu myoyambendi unamaanusha kupeana nnUsiku wa kupeana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani jirani ooh,nimekukosea nini..
Sasa nikueleweje jiranii...[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444]
Myoya maaaaaan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kama ni andaeitin au mbaba. Kama ni mbaba jua utapata maksi za ziada (sponsor)Ili ugundue nn
Samahani mkuu...nilipitiwa..Jirani jirani ooh,nimekukosea nini..
Sasa nikueleweje jiranii...[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444]
Myoya maaaaaan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
You either adapt or you perish. Ni struggle for existence and the survival of the fittest bro...Tatizo u bad boy si uwezi nimejaribu we lakini nashindwa sijui kwa nn hakuna dawa ya kuwa bad boy kweli
Awesome tena nitazitundika kwenye frem kabisaaaNgoja na mimi nianze kutupia zangu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Usiwe na wasiwasi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitupia nitag...
Mi siku moja nitawapa suprise wapenda sura mbaya na mi beard najiripua halafu full maelezoKuna siku malkia wetu wa uzi alirusha picha yake halisi laivu humu na kumtag prince wake Mzee wa Ini lakini nashangaa hakuna hata mmoja aliyeipakua. Kujiripua rukhsa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]