Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wafuasi wa Nasa waliandamana baada ya Miguna kunaswa na kuzuilia kwa muda wa siku tano. Mtu mmoja alipigwa risasi na polisi baada ya maandamano hayo kubadilika na kuwa mapambano ya kutwa nzima katika kaunti ya Kisumu.

Magari ya umma kutoka kaunti ya Kericho yalipigwa mawe na wasafiri kutatizika kati ya kaunti za Kericho na Kisumu.
 
Hivi vitambulisho vinapatikanaje? Mtu unahitaji vitu gani ili kuvipata? Na kama uko nje ya nchi unavipataje?
NIDA ndiyo wahusika wakuu wa hivi vitambulisho.
Majina yako matatu,cheti cha kuzaliwa,ujue mahala unakaa(mtaa sijui na kitongoji)na details nyingime tu za kawaida.
Picha wanakufotoa wenyewe.
Nafikiri wahitajika mwenyewe haina kutuma mtu
 
Ukimsikiliza Miguna akichambua utawala wa raisi wao utampenda Bure...nimemsikiliza Mara kadha kwenye JKL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…